1. Home
  2. Raila Odinga

Raila Odinga

Raila apatia serikali ya Ruto alama ya 30% sawa na D- kwa kukosa kutimiza ahadi ilizotoa kwa wakenya

Viongozi wa muungano wa azimio la umoja wakiongozwa na kinara wao Raila Odinga wameukosoa uongozi wa rais William Ruto wakisema kenya kwanza imekosa kutimiza ahadi ilizotoa kwa wakenya mwaka uliopita. Wamedokeza kuwa watachukua hatua ambayo hawakutangaza rasmi inayohusiana na ile shighuli waliyokuwa wameanza ya kukusanya sahihi milioni kumi na tano za kumng’atua rais ruto na […]