1. Home
  2. Uhuru Kenyatta

Uhuru Kenyatta

Uhuru‘s closing day

Former President Uhuru Kenyatta took the final journey from state house to Kasarani for that all- important democratic ritual. The former head of state left state house as president and departed Kasarani as former president but with a new job, that will see him spearhead peace efforts in the region. We take you along that […]

Uhuru hadi ruto

Hakuna aliyejua kilichomo nafsini mwake lakini ni dhahiri kwamba ilikuwa siku nzito kwake na kwa wafanyikazi wengi wa ikulu ya Rais kwani ilikuwa siku ya mwisho kwake kama Rais wa Jamhuri ya Kenya. Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta alifuatilia kwa makini na kutekeleza wajibu wake wa kikatiba, kumkabidhi mamlaka Rais wa tano wa Jamuhuri ya Kenya […]