Rais William Ruto atarajiwa kuzuru kaunti za Kisii na Nyamira kuzindua miradi ya serikali
Rais William Ruto anatarajiwa kaunti za Kisii na Nyamira kuzindua miradi ya serikali maeneo hayo. kilele cha ziara ya Ruto kitakuwa katika eneo la Sironga kaunti ya Nyamira. Rais anaanza ziara hiyo maeneo ya Bomachoge Chache kaunti ya Kisii .