Gavana wa Siaya, Orengo amtaka Rais wa zamani Uhuru kutokubali kukatishwa tamaa na serikali
0
0
Gavana wa Siaya, James Orengo amemtaka rais wa zamani, Uhuru Kenyatta kutokubali kukatishwa tamaa na serikali kustaafu kutoka kwa siasa pevu ili kupata malipo yake ya kustaafu, akisisitiza kuwa kifurushi bora zaidi cha kustaafu kinamfaa ni nia njema na baraka kutoka kwa Wakenya lakini sio kifurushi cha masharti kutoka kwa serikali.