1. Home
  2. Uhuru
  3. Kenyatta
  4. Idara ya polisi yasema uhuru wa kusimamia fedha zake utainua hadhi ya maafisa

Idara ya polisi yasema uhuru wa kusimamia fedha zake utainua hadhi ya maafisa

0
0

Hatua ya rais William Ruto kutia sahihi kanuni itakayomwezesha inspekta jenerali wa polisi kukadiria na kuelekeza matumizi ya fedha katika idara hiyo itaimarisha hali ya usalama nchini na kuinua hadhi ya maafisa wa polisi. Wachambuzi wa masuala ya uongozi wanasema kuwa hatua hiyo ambayo ilitarajiwa na watunzi wa katiba ilicheleweshwa kwa muda wa miaka 12.

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *