1. Home
  2. Raila
  3. Odinga
  4. Raila Odinga aongoza mkutano wa wabunge wa Azimio

Raila Odinga aongoza mkutano wa wabunge wa Azimio

0
10

Viongozi wa muungano wa Azimio La Umoja One Kenya Raila Odinga, Martha Karua na Kalonzo Musyoka wanasisitiza kwamba mrengo wa azimio una wabunge wengi kuliko kenya kwanza katika bunge la kitaifa. Na kwamba watachukua viti vya walio wengi. Viongozi hao walizungumza katika kaunti ya Machakos katika kongamano la wabunge wa Azimio

Comment(10)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *