Raila Odinga asema Kenya Kwanza haina nia njema
0
0
Viongozi wa Azimio la Umoja sasa wanataka kenya kwanza kuweka bayana endapo wataunga mkono mapendekezo ya muda yaliyotolewa na wawakilishi wake wanaoshiriki mazungumzo, la sivyo yavunjiliwe mbali. Kinara wa Azimio Raila Odinga na viongozi wengine wa muungano huu wanasema Kenya Kwanza haijaonyesha nia ya kushughulikia masuala tata huku wawakilishi wao katika mazungumzo wakionekana kupata ushauri kutoka kwengineko