1. Home
  2. Raila
  3. Odinga
  4. Raila Odinga asema maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

Raila Odinga asema maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

0
0

Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amedokeza kuwa muungano wa azimio la umoja hautalegeza kamba katika kushinikiza serikali kushukisha gharama ya maisha miongoni mwa masuala mengine ya kitaifa. Odinga aliyasema haya katika eneo la Nyaribari chache kaunti ya Kisii alikohudhuria mazishi ya Truphena Moraa Otengi, mamake aliyekuwa diwani katika manispaa hiyo na mwenyekiti wa ODM Kisii Jackson Ontegi.

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *