Rais Ruto ahutubia mkutano wa Umoja Wa Mataifa
0
12
Rais William Ruto alipigia debe mfumo wake wa uongozi wa kuimarisha maisha ya walio chini kiuchumi haswa katika mataifa yanayostawi, alipohutubia mkutano wa baraza la usalama la umoja wa mataifa jijini New York, Marekani. Rais Ruto pia akitumia fursa kwenye mkutano huo kuyataka mashirika ya fedha kuongeza ruzuku ya madeni kwa mataifa yaliyoathirika zaidi na tandavu ya corona.
Huyu jamaa ako Sawa Sana✌️✌️
He came all in which looks commendable
Kenya’s pride, Dr William Ruto
Well done my president. We support your efforts to make the rest of the world understand the challenges Africa & world faces against climate change phenomena.
Naomba mungu akujalie ubadilishe Kenya utuongoze kama marehemu magufuli mungu amrehemu aliongoza taifalao ipasavyo kabsa hakua nimtu mwenye kubagua nandiomana watu wamtaja kwawema hadiwaleo ruto rais wetu twatarajia badadiliko InshaAllah tumechoka manyanyaso kiukwel
Ameen Ameen
hii nayo Ogwambo hageweza belive me
🤣🤣🤣 ni kweli kabisa ata agekua amelala
Congrats H.E WSR
Good among all 5 of them . Best president
This is the president we needed.He said mjandala utambandilika na kweli by August,every body was talking about the people at the bottom of the pyramid.I believe in him.
Sio kusema tu.. hizi tumeskia since then fanyia wakenya kazi, barely a month 5 trips what a start