Rais Ruto akabidhi wenyeji wa Rongai hati za ardhi
0
0
Rais William Ruto amewakabidhi wenyeji wa eneo la Rongai Kaunti ya Nakuru hati miliki 1,900 za ardhi na kuahidi kutatua mzozo wa mashamba katika kaunti hiyo. Rais Ruto akiwaonya wamiliki wa mashamba dhidi ya kuwaruhusu wafisadi kuingilia ununuzi wa mashamba yao.