1. Home
  2. William
  3. Ruto
  4. Rais Ruto aonya wanaojihusisha na uuzaji wa mbolea za nafuu

Rais Ruto aonya wanaojihusisha na uuzaji wa mbolea za nafuu

0
0

Rais William Ruto amewaonya wafanyakazi wa umma wanaojihusisha na uuzaji wa mbolea za nafuu zinazotolewa na serikali. Rais Ruto amesema kuwa, mpango huu haupaswi kuingiliwa na mawakala kwa kuwa ndio njia pekee ya kupunguza gharama ya maisha. Rais amezungumza kaunti ya nyandarua ambako pia ameshikilia kuwa hakuna viongozi wa upinzani watakaojumuishwa kwenye serikali yake

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *