Rais William Ruto ahutubia mkutano wa Umoja wa Mataifa, UNGA
0
0
Rais William Ruto alipigia debe mfumo wake wa uongozi wa kuimarisha maisha ya walio chini kiuchumi haswa katika mataifa yanayostawi, alipohutubia mkutano wa baraza la usalama la umoja wa mataifa jijini New York, Marekani. Rais Ruto pia akitumia fursa kwenye mkutano huo jana jioni kuyataka mashirika ya fedha kuongeza ruzuku ya madeni kwa mataifa yaliyoathirika zaidi na tandavu ya corona.