Rais William Ruto aongoza wakenya kwa sherehe yake ya kwanza ya madaraka kama rais
0
0
Rais William Ruto leo ameongoza wakenya kwa sherehe yake ya kwanza ya madaraka kama rais, huku akitangaza kuzinduliwa rasmi kwa awamu ya pili ya mkopo wa hazina ya hasla. Rais Ruto akiongoza sherehe hizi za 60 za madaraka pia ameratibu baadhi ya mipangilio ya serikali yake katika kuimarisha uchumi na maisha ya wakenya wa ngazi za chini.