1. Home
  2. William
  3. Ruto
  4. Rais William Ruto atumia sherehe za madaraka kupigia debe hazina ya nyumba za nafuu

Rais William Ruto atumia sherehe za madaraka kupigia debe hazina ya nyumba za nafuu

0
0

Rais William Ruto alitumia sherehe za madaraka za mwaka huu kuendelea kupigia debe hazina ya nyumba za nafuu. Rais ameonekana kutorudi nyuma na msimamo wake wa kuendelea na mpango huo licha ya pingamizi kutoka kwa asilimia kubwa ya wakenya. Lakini kama chemutai goin anavyoarifu, rais ametumia hotuba hii kufafanua faida za mpango huu anaosema utabadili maisha ya wengi.

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *