1. Home
  2. William
  3. Ruto
  4. Rais William Ruto azindua malori 50 ya chakula

Rais William Ruto azindua malori 50 ya chakula

0
2

Wakenya wanaokumbwa na njaa wamepata afueni hii leo baada ya Rais DKT William Ruto kuzindua malori 50 ya chakula cha msaada kwa maeneo yaliyoathirika zaidi. Shehena hii ya vyakula na lishe ya mifugo ikiwa ya kwanza, huku ya pili ikipangiwa kusafirishwa juma lijalo

Comment(2)

  1. Our President May God be with You as You’re helping our fellow Kenya’s dying of hunger,We Loves You Our President 🎀🙏🙏

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *