1. Home
  2. Raila
  3. Odinga
  4. Shirika la viongozi wanawake wa Afrika lakosoa maandamano inayoongozwa na Raila Odinga

Shirika la viongozi wanawake wa Afrika lakosoa maandamano inayoongozwa na Raila Odinga

0
11

Shirika la viongozi wanawake kutoka africa limeashiria kutorithishwa kwao na maandamano yaliyofanywa siku ya jumatatu pamoja na kutoteuliwa kwa angalau wanawake wanaoishi na ulemavu kwenye orodha ya hivi majuzi ya makatibu waaandamizi wa wizara.

Comment(11)

  1. Please can someone send to this women the clips of the maandamano..and see women were also there ….tuta andamana till this government cry

  2. Waulize hao wanaishi wapi Kenya hii,wanaishi kwa ma suburbs, driving cars while the poor are suffering

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *