1. Home
  2. Uhuru
  3. Kenyatta
  4. Sifa za kaunti ya Nyeri tangu enzi za kupata uhuru

Sifa za kaunti ya Nyeri tangu enzi za kupata uhuru

0
1

Kaunti nambari 19, ni kaunti ya Nyeri……Kaunti ambayo ni Moja kati ya 10 zilizoko eneo la mlima Kenya, kaunti hii ina idadi ya watu 759,000 na ina umuhimu wa aina yake katika eneo la kati ukizingatia kuwa lilikuwa makao makuu ya mkoa wa kati kabla ya serikali za ugatuzi kuanzishwa.

Comment(1)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *