1. Home
  2. Moses
  3. Wetangula
  4. Spika Wetangula aagiza kikao kati ya viongozi wa Bunge

Spika Wetangula aagiza kikao kati ya viongozi wa Bunge

0
0

Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula ameagiza viongozi wa mirengo ya Kenya Kwanza na Azimio bungeni kuketi chini na kuafikiana kuhusu ajenda ya kamati itakayofanya mazungumzo yanayonuiwa kusitisha maandamano. Agizo hili limetolewa huku azimio ikishikilia msimamo wao kuwa mazungumzo hayo yafanyike nje ya bunge,

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *