1. Home
  2. Uhuru
  3. Kenyatta
  4. Uhuru hadi ruto

Uhuru hadi ruto

0
16

Hakuna aliyejua kilichomo nafsini mwake lakini ni dhahiri kwamba ilikuwa siku nzito kwake na kwa wafanyikazi wengi wa ikulu ya Rais kwani ilikuwa siku ya mwisho kwake kama Rais wa Jamhuri ya Kenya. Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta alifuatilia kwa makini na kutekeleza wajibu wake wa kikatiba, kumkabidhi mamlaka Rais wa tano wa Jamuhuri ya Kenya William Ruto.

Comment(16)

  1. Always u will remain my president Mr uhuru love u very much,Thnks Mr president ure legacy shall remain for rever, u have done alot for our country interms of peace and infrastructure in our country and u play a big role to keep peace in our neighboring countrys,May Allah bless u ,end ure family we shall miss u sir hve a good time in ure retirement my former president.

  2. We will miss you my best president ever God bless you for thy Peace u have kept in our country God bless you Abundantly n ur family

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published.