1. Home
  2. Raila
  3. Odinga
  4. Viongozi wa Azimio wanakutana machakos huku kinara wa Azimio Raila Odinga akitarajiwa kuhudhuria

Viongozi wa Azimio wanakutana machakos huku kinara wa Azimio Raila Odinga akitarajiwa kuhudhuria

0
0

Viongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Alliance wanakutana kupanga mikakati ya uakilishi katika kamati mbalimbali katika mabunge ya kitaifa na seneti. Mkutano huo unatarajiwa kuhudhuriwa na Kinara wa Azimio Raila Odinga, Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka,na kinara wa narc kenya Martha Karua.

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published.