1. Home
  2. Uhuru
  3. Kenyatta
  4. Wakazi wa Nairobi kujivinjari bustani ya Uhuru yenye sura mpya kwa wiki mzima

Wakazi wa Nairobi kujivinjari bustani ya Uhuru yenye sura mpya kwa wiki mzima

0
0

Wakazi wa kaunti ya Nairobi wamepata kionjo cha bustani iliyokarabatiwa ya Uhuru kabla ya bustani hiyo kufungwa tena baada ya wiki moja kwa ukarabati zaidi. Bustani hiyo imefungwa kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Akizingumza katika hafla ya uzinduzi wa tamasha ya wiki moja ya maonyesho ya utamaduni, talanta na biashara iliyowaleta pamoja wakazi wa kaunti ya Nairobi, gavana Johnsosn Sakaja amesema kuwa asilimia 80 ya kazi iliyotarajiwa kufanyika kwenye bustani hiyo tayari imekamilika

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *